ZOEZI LA KUMALIZA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI
Sawa, umeingia Google ukatafuta njia za kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni. Umekuwa ukisumbuka kutumia dawa kadha wa kadha za kumaliza tatizo la kuwahi kufika na kushindwa kurudi tena barabarani kuendelea na safari . Labda nawe ukimaliza la kwanza 'jamaa' anarudi nyuma na kunywea kwa haraka sana, kama akija kuamka tena hadi yapite masaa 24.
Yawezekana umesikia kuhusu mazoezi ambayo husaidia kuimarisha misuli ya uume na ukaanza kuhudhuria mazoezi lakini mambo ni yale yale.
Mitandaoni kumejaa uongo juu ya zoezi la kuimarisha misuli ya uume kuwa imara na kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni. Labda yafuatayo pichani ni mazoezi uliyokuwa ukiambiwa yanasaidia .
Mazoezi hayo ya viungo na mengine yafananayo ni mazuri kwa kuweka mwili na afya sawa lakini si kwenye kusaidia kuimarisha uwezo wa uume kusimama barabara na kurudia tendo.
Nini cha Kufanya?
Tazama hii picha hapa chini;
- Fikiria kuzuia mkojo kutoka, au wakati unakojoa zuia mkojo na uachie. Kwahiyo hata kama huna mkojo unaweza kufanya hivi mahali popote iwe umesimama au umekaa kitako. Lakini kama una hali ya kuhisi maumivu kipindi unazuia mkojo, acha usifanye hivyo.
- Hatua ya pili ni; vuta picha wakati unazuia gesi kutoka kwa njia ya haja kubwa (kuzuia kujamba), kwahiyo zoezi hilo ni muunganiko wa kuzuia mkojo na kuzuia gesi kwa wakati mmoja ndani ya sekunde kadhaa halafu unaacha, tuseme sekunde 3, halafu unarudia tena.
- Hatua ya tatu ; Vuta picha una pandisha korodani zije juu au zirudi ndani, (dhumuni la zoezi hili si kuumia, kama unaumia sitisha zoezi). Usiogope labda ukizirudisha ndani zitakuwa hazitoki tena, hapana.
Sasa zoezi hili unaweza kufanya kwa kuunganisha matukio hayo matatu niliyoanisha hapo juu, tuseme unabana kwa sekunde 3 na kuachia, unarudia tena unabana kwa sekunde 3 na kuachia, vivyo hivyo hata mara 10 ukiweza.
Uzuri wa zoezi hili hakuna atakayekuona au kugundua unafanya zoezi. Unaweza kufanya mahali popote na muda wowote, iwe umekaa kwenye siti ya gari, ofisini kwako, au umesimama kwenye kadamnasi ya watu.
Fanya hivyo ndani ya wiki ya kwanza utayaona mabadiliko.
Program ya mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume
Umetoka kusoma zoezi mojawapo la kuchelewa kufika kileleni la Kegel. Lakini sasa, je unafahamu ni kwa kiasi gani unatakiwa kufanya na kwa kpimo kipi?
Kama umewahi kujiuliza endapo kuna mazoezi ya kurefusha na kunenepesha mboo bila kutumia dawa;
🌿Majibu ya maswali yako tumeyajibu kwenye program ya mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume kwa mfumo wa PDF.
Mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume kama vile stretching, jelqing, na mengineyo. Program imesheheni mazoezi 5 tofauti yaliyoelezewa kwa kiswahili cha kawaida cha kueleweka.
Utakutana na chati za maelekezo ya utumiaji wa mazoezi na chati za miiko yake, pamoja na muda wa kufanya mazoezi, vilevile program inaelekeza ni kwa kiasi gani ufanye mazoezi na kwa kipimo kipi, ili kuepukana na athari hasi zitazojitokeza kwa kuzidisha kipimo bila kufata maelekezo ya kitaalamu.
Waliotumia program wanaendelea kutuma mirejesho chanya kupitia Whatsapp .
Braza nikwambie kitu usichokijua ni kwamba huwezi kuona utofauti wa ufanyaji kazi wa mwili wako hadi pale utakapoanza kufanya mazoezi ya mwili na viungo. Ndivyo ilivyo kwenye kesi ya mboo, utakapofanya mazoezi ya mboo hutakuja kuyaacha kwa maana yatakuletea furaha na kujiamini kitandani.
Kuwa mpenzi bora leo kwa kuagiza program ya mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume.
Bei ya program ni Tsh25,000
Piga simu/sms neno "program" nitakujibu kwa haraka kupitia namba yangu binafsi+255679120403
Tabibu Kweli
Dar es Salaam,
Tanzania 🇹🇿
WhatsApp: 0766107722
Nikutakie Afya njema ya uume.
Maoni
Chapisha Maoni