Faida 5 Mama za Kiafya za Mlonge

 

Faida 5 Za Kiafya za Mlonge  




Moringa oleifera kama unavyofahamika, ni mti unaokinzana na ukame wenye asili ya India, lakini pia unashamiri kwenye maeneo ya kitropiki duniani kote. Hufahamika kwa majina mengine kadhaa: horseradish tree, drumstick tree, ben oil tree na miracle tree. Kuna wanaosema ni nguli wa tiba kutokana na matumizi yake mengi kwenye tiba asilia. Kwenye matumizi ya asili,  mlonge (au Sajana) unaweza kutibu uvimbe, maumivu kwenye maungio, afya ya moyo na aina kadhaa za maambukizi (ya bacteria, virusi na fangasi), kulingana na chuo chaCalifornia College of Ayurveda. Aina nyeusi ya mlonge ndio maalufu sana, na ina sifa nyingi kwenye tiba asilia za kihindi za kale, (Ayurvedic medicine), zikiwemo: 

  • Deepana: Huimarisha mmeng'enyo
  • Rochana: Huimarisha ladha
  • Kshara: Sifa za kuwa na alkali
  • Shukrala: Hunufaisha ujazo mkubwa wa shahawa na mbegu za uzazi (sperm count) 
  • Hrudya: Nzuri kwa moyo kama tonic ya moyo 
  • Chakshushya: Huimarisha kuona vyema 
  • Vidradhi: Husaidia kuponyesha majipu haraka kwa kunywa au kupakaa kwenye hipu.    
  • Shvayathu: Kizuia uvimbe 
  • Visha: Ina kazi ya kuondosha sumu   
  • Meda: Husaidia kupunguza fati na kushusha hatari ya utapia mlo.


Matumizi ya Mlonge kulingana na Utafiti wa Kisayansi 

Yapi ni matumizi ya mlonge ambayo tunaweza kuyapata duniani leo? Hapa chini, tutaenda kujadili faida 5 za kiafya za mlonge zikibebwa na utafiti wa kisayansi.   

1. Mlonge  umesheheni Virutubisho vingi Muhimu 

Karibia sehemu zote za mti wa mlonge zinaweza kuliwa au kuandaliwa kwa matumizi ya dawa za asili. Mlonge una utajiri wa vitamini na madini mengi muhimu. Kulingana na USD, majani ya mlonge ni chanzo kizuri cha protini, vitamin A, vitamin B6, vitamin C, madini joto (iron), riboflavin na magnesium. Protini, calcium na iron vyote husaidia mwili wako na kuimarisha misuli. Majani yake yanaweza  kuwa na vitamini C nyingi kuliko machungwa, lakini pods (zinazohifadhi mbegu za mlonge wakati bado hazijakomaa), hijapokuwa hazina virutubisho, zina vitamin C nyingi zaidi. Wakati virutubisho (supplements) za mlonge vinapatikana, thamani ya virutubisho ni ndogo mno kuliko ukiupata katika asili yake na ukauongeza kwenye msosi wako pamoja na  usimamizi wa mtaalamu wa vyakula aliyesajiriwa. Richa ya kuwa na utajiri wa virutubisho, majani ya mlonge pia yanaweza Kuwa na viwango vya vizuia virutubisho ambavyo huzuia kuchukuliwa kwa madini na protini muhimu.


2. Mlonge una Utajiri wa Viondosha Sumu 

Maada ya mmea wa mlonge pia inamliki sifa za kuondoa sumu ambazo  hulinda seli shinikizo la sumu na kuharibuka kutokana na sumu huru. Shinikizo la sumu huchangia visabishi hatari vya shinikizo la juu la moyo  na maradhi mengine sugu ya moyo. Baadhi ya tafiti hupendekeza kwamba viondosha sumu pia hushusha viwango vya shinikizo la damu na fati kwenye damu. Kiondosha sumu (antioxidant), athari za hypolipidaemic na  antiatherosclerotic za mlonge huonyesha uponyesha wa muhimu kwenye kuzuia ugonjwa wa moyo, kulingana na utafiti uliochapwa kwenye jarida la  Ethnopharmacology  mwaka 2008. Viondosha sumu vya ziada vilivyomo kwenye mlonge ni  quercetin (inaweza kushusha presha ya damu) na chlorogenic acid ( inaweza kurekebisha sukari kwenye damu baada ya kula chakula).

Jaribio la mwaka 2012 lililochapwa kwenye jarida la Food Science and Technology  lichambua athari za unga wa majani ya mlonge na amaranth kwenye kukoma hedhi kwa wanawake. Jaribio lilionyesha kwamba wanawake waliotumia vijiko vya chai 1.5 vya unga wa majani ya mlonge kila siku kwa miezi mitatu wali ongezaviwango vya viondosha sumu kwenye damu.

3. Mlonge unaweza Kushusha Viwango vya Sukari ya Damu 

Sukari ya Damu iliyo juu inaweza kumuweka mtu kwenye hatari ya magonjwa, kama vile kisukari na ugonjwa wa moyo. Kampaundi inayopatikana kwenye mlonge inayoitwa   . isothiocyanates inaweza kuwakilisha ufunguo kwenye kushusha sukari ya damu. Jaribio la mwaka 2012 liliwekwa kwenye jarida la Food Science and Technology pia liligundua kwamba unga wa majani ya mlonge  ulipunguza viwango vya sukari ya damu kwa wanawake kwa 13.5%.

Jaribio lenye kikomo la mwaka 2009 lililochapwa kwenye jarida la International Journal of Food Sciences and Nutrition  walifatiliwa watu sita wenye kisukari. Wa waligundua kwamba ukiongeza  gram 50 ya majani ya mlonge kwenye chakula cha mojawapo kulipunguza ongezeko la sukari ya damu kwa 21%


4. Mlonge Unaweza Kupunguza Vivimbe 

Vivimbe ni tabia ya asili ya kujilinda mwili kuitikia jeraha au uambukizi. Hatahivyo, inaweza kuwa mbaya ikitokea mara kwa mara kwa kipindi kirefu. Vivimbe vinavyodumu kwenye mwili huhusiana na magonjwa kadhaa sugu, kama vile ugonjwa wa moyo

Chakula bora na mboga za majani na matunda na mitishamba ok nayosaidia na viungo inaweza kusaidia kupambania na vivimbe vilivyozidi kwenye mwili pamoja athari za vipinga uvimbe. Isothiocyanates ni kampaundi inayopatikana kwenye majani ya mlonge, mbegu, na pods (vitunza mbegu kabla ya kukomaa) ambazo zitasaidia kupunguza vivimbe   i a similar way. However, studies have been limited to animal and test-tube research, and further studies on humans are needed to provide conclusive evidence.

5. Mlonge Unaweza Kupunguza Cholesterol

Kiwango cha juu cha cholesterol kinahusishwa pia na ongezeko la hatari ya kutokea ugonjwa wa moyo. Aina kadhaa za vyakula vya mimea imeonyesha  uwezo wa kupunguza cholesterol, zikiwemo vyakula jamii ya karanga(nuts) na jamii ya mbegu (seeds).

Mlonge pia  umeonyesha athari zenye faida kwenye kupunguza cholesterol kwenye namna inayofanana.  Jaribio la mwaka 2008 lililochapwa kwenye jarida la Journal of Ethnopharmacology liligundua  kwamba sungura aliyepewa maji yenye vinasaba vya majani ya mlonge kwa wiki 12 alishusha viwango vya cholesterol kwa takribani 50%. Mafuta yabisi Atherosclerotic plaque yaliyokuwepo yalipungua kwa takribani 86%. Watafiti waligundua kwamba mlonge inasaidia sana kwenye kuzuia ugonjwa wa moyo.  .

 Je, ni Salama Kula Mlonge?

Ndio, kiujumla hutambulika kuwa ni salama kula vinavyohusiana na Mlonge na virutubisho (supplements). 

Hakuna athari mbaya ambayo imeripotiwa kwenye majaribio ya kibinadam,kulingana na jaribio la mwaka 2015 potion lilichapwa kwenye jarida la Phytotherapy Research. Hatahivyo, Watafiti huonya kwamba wanawake wenye mimba wasile magome au masa (pulp) ya mlonge kwani kemikali kwenye chochote katika hivyo vinaweza kupelekea uke kusinyaa kuzalisha mimba kuharibuka..

Kulingana na pitio, vinasaba vya majani ya mlonge yameonyesha uwezo mkubwa wa viondosha sumu, na majani na Cha kuhifadhia mbegu kisichokomaa (pods) ndio hutumika kwa upana kama chakula kwenye lishe ya mwanadamu.

Virutubisho vya Mlonge (supplements) havijapangwa na FDA, na hakuna dozi iliyopendekezwa. Zungumza na daktari wako au mtaalamu wa vyakula aliyesajiriwa kabla ya kutumia mlonge.



🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿

Natumai umeelimika juu ya faida za kiafya za mlonge, furahia kula na kunywa mlonge ukifaidi virutubisho vyake.

🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿

Tabibu Kweli 🇹🇿
Tiba Asilia
☎️/Whatsapp: +255658674553





Maoni