Wanaume: Kila kitu Unachopaswa Kujua Kuhusu Afya ya Uume

 

Kila kitu Unachopaswa Kujua Kuhusu Afya ya Uume    



Kipindi watu wengi wanapofikiria kuhusu afya ya uume, hufikiria kuhusu maambukizi kwa njia ya zinaa, sexually transmitted infections (STIs), na kushindwa kusimama/kudinda, erectile dysfunction (ED).

Wakati kwa hakika matatizo haya yanaweza kuathiri afya ya uume wako, afya ya uume inahusu mambo mengi zaidi ya hivyo ufikiriavyo.   

Kuna vitu vingi tofauti tofauti ambavyo vinaweza kuathiri afya ya uume wako, ikiwemo usafi, mabadiliko ya mfumo wa maisha, na matatizo yoyote ya kiafya. 

Hivi ni vitu au mambo unayotakiwa kuyafahamu  kuweka uume wako umbile la kilele Cha juu.

Vitu vingi tofauti vinaweza kuathiri afya ya uume. Na “afya ya uume,” tunamaaniaha:

  • Uwezo wako wa kukojoa kwa urahisi 
  • Uwezo wako wa kupata au kubakisha uume kusimama
  • Uzazi wako 

Afya ya Uume pia hujumuisha kujizuia na baadhi ya magonjwa kama Kansas ya uume na STIs. 

Mambo yafuatayo yanaweza kuathiri afya ya uume wako:

Kiwango Cha Homoni 

Uume kutosimama vizuri kunaweAza kusababishwa na homoni kutokuwa sawa (hormone imbalances) kama vile kiwango kidogo cha homoni ya testosterone. Kiwango kidogo cha testosterone kinaweza kusababishwa na mambo tofauti, tutaenda kujadili kwenye makala hii. 

Umri

Kadri umri unavyozidi kwenda, una uwezekano wa kukumbana na matatizo ya uzazi kama kushindwa kusimamisha uume vizuri, erectile dysfunction ED. Hii yawezekana ni kwa sababu kiasili kiwango chako cha testosterone kinashuka kuendana na muda. 

Matatizo ya Kiafya 

Shinikizo la juu la damu, kisukari (diabetes mellitus), na magonjwa ya neva za fahamu yanaweza kusababisha ED.

Matatizo ya kisaikolojia kama wasiwasi na  msongo wa mawazo pia yanaweza kuzidisha hali ya kushindwa kusimamisha uume vizuri, erectile dysfunction,ED.

Kujamiiana

Kama unataka tendo la ndoa bila condom, hakikisha wewe na mwenzi wako mnafanyiwa vipimo mara kwa ajili ya magonjwa ya zinaa, sexually transmitted infections STIs, au baki na mahusiano ya mpenzi mmoja muwe mbali na magonjwa ya zinaa STIs.

Vinginevyo, kutumia condom kwa usahihi Kila muda unapojamiiana ni njia pekee ya kupunguza hatari kwako. 

Matibabu

Baadhi ya matibabu yanaweza kuongeza uwezekano wa kuongeza hatari ya uume kushindwa kusimamisha vizuri. Zungumza na daktari au mtoa huduma ya afya kama unahisi matibabu yako yanasababisha kushindwa kusimamisha uume vizuri au matatizo mengine ya tendo la ndoa. 

Usafi

Kujisafisha vizuri ni muhimu kwa afya yako. Osha uume wako na kwenye mapaja karibu na uume mara kwa mara na paache pakiwa safi. 

Usafi mbovu unaweza kurundika uchafu unaotokana na jasho, smegma.

Kama smegma ikijijenga, inaweza kusababisha uvimbe kwenye ngozi ya pembeni yake. Hii inaweza kufanya ujihisi ugumu na inaweza kuwa sababu ya balanitis   (ugonjwa unaosababisha kichwa cha uume kuvimba au kuumuka na kupata rangi nyekundu, njia pekee ya kupona ni kusafisha na kuacha uume kwenye hali ya usafi). Hata kwa uume uliotahiriwa, kama usafi haufanyiki inaweza kupelekea muwasho kwenye uume na uvimbe,ikiwemo ugonjwa wa balantis. 


Njia za Kufanya


Afya ya Uume inahitaji ufuatiliaji wa kiimani. Kwa maneno mengine, kuchukua hatua ya kujari afya yako kiujumla ni muhimu kwa afya ya uume wako. Swala hili ni muhimu mno kwa maana magonjwa tofauti tofauti yanaweza kuathiri afya yako ya uzazi na uume.

Kunywa Maji ya kutosha 

Kuwa na maji ni muhimu kwa afya yako kiujumla vilevile afya yako ya uume. Kuna uwezekano wa mahusiano kati ya uwepo wa maji mwilini na kushindwa kusimamisha uume vizuri, kwahiyo jaribu kupata kama lita mbili za maji kwa siku.

Kula Chakula Bora 

Chakula bora ni ufunguo kwenye kukusaidia kupunguza hatari ya kupata kisukari na magonjwa ya moyo, ambayo yote hayo yanaweza kusababisha kushindwa kusimamisha uume vizuri, elctile dysfunction ED.

Utafiti ulifanyika 2016 kati ya watu 25,096  ulitazama mahusiano kati ya ED na flavonoids, ambayo kwa wingi hupatikana kwenye mboga za majani na matunda.  

Watafiti wakagundua kwamba wale walioku wakila flavonoids mara kwa mara hawakupata matatizo ya ED. 

Baadhi ya vyakula vinachochea kupanda kwa kiwango cha homoni ya testosterone na kuimarisha uzazi.  

Vyakula hivyo ni vikiwemo:

  • spinach
  • Vyakula vyenye viungo pamoja na capsaicin(pilipili)
  • Parachichi

Mazoezi Mara kwa Mara 

Shughuli zinazohusisha mwili za wastani zinaweza kupunguza uwezekano wa kupata electile dysfunction ED.

 Utafiti ulifanyika 2015  ulitazama watu wenye ED na waliopata tatizo la myocardial infarction (hujulikana kama mshtuko wa moyo) hivi karibuni. Utafiti uligungua kwamba program ya kutembea kwa mguu ukiwa nyumbani inaweza kupunguza ED.

Jaribu kufanya mazoezi walau mara chache katika wiki — hata matembezi madogo ya mara kwa mara yanaweza kuimarisha afya ya uume wako.  

Fanya mazoezi ya pelvic floor 

 Mazoezi ya Pelvic Floor  mara nyingi yanahusiana na afya ya uke, lakini yanaweza msaada kwa kila mmoja.

Mazoezi haya yanaweza kuimarisha uwezo wako kupata na kubakisha usimamaji wa uume, vilevile huzuia mkojo kubakia baada ya kukojoa. 

Utafiti mdogo uliofanyika mwaka2005Trusted Source  kwa watu 55 wenye ED uligundua kwamba mazoezi ya  pelvic yamesaidia asilimia 40 ya washiriki kurudisha uwezo wa kusimamisha kawaida.

Nyongeza ya asilimia 35.5 imeripoti kwamba, ijapokuwa hawakuweza kurudi kwenye hali ya kawaida, kiujumla uume kusimama uliimarika. 

Unaweza kufanya  mazoezi ya kawaida ya  Kegel  kwa kubana misuli unayotumia kukojoa. Bana kwa sekunde 5, iachie, na urudie kwa raundi 10. Jiimarshe, endelea na zoezi hilo kila siku hadi uweze kufanya hivyo mara 20. Fanya hivi mara mbili au tatu kwa siku. 

Bakisha uzito wenye afya

Kubakisha uzito mzuri kiafya kunapunguza hatari ya kupata kisukari, cholesterol ya juu, na ugonjwa wa moyo, yote kwa pamoja yana athiri afya ya uume wako.  

Dhibiti Msongo wa Mawazo

Kujifunza kudhibiti msongo wa mawazo  ni nzuri kwa afya yako kiujumla na afya ya uume wako. 

Msongo wa mawazo na wasiwasi  vinaweza kuathiri utendaji kazi wa tendo la ndoa na uzazi. Msongo wa Mawazo pia unaongeza chansi ya kuzalisha ugonjwa wa moyo, ambayo yanaweza kupelekea kupata ED. 

Zifuatazo ni njia ya kudhibiti Msongo wa Mawazo:

Pata usingizi 

Usingizi ni muhimu kwa afya ya mishipa ya damu, ambayo huathiri uwezo wako wa kusimamisha uume. 

Kunaonekana kuna muunganiko kati ya usingizi hafifu na ED, kwasababu ufinyu wa usingizi unaweza kupelekea testosterone kushuka na matatizo mengine ya homoni. 

Jizuie na Tumbaku 

Uvutaji wa sigara una mahusiano makubwa na kutosimamisha uume wako vizuri, electile dysfunction ED.

Utafiti uliofanyika 2013 Trusted    umeonyesha kwamba jambo hili lawezekana kwasababu     uvutaji wa sigara unaharibu kazi ya moyo, ambayo inapelekea kupata ED.

Uvutaji wa sigara unaweza pia kupunguza uwezo wa kuzalisha. 

Kunywa Pombe kwa kiasi

Kama ilivyo kwa tumbaku, unywaji pombe kupita kiasi kinaweza kusababisha matatizo kadhaa ya kiafya, ambayo yanaweza kuathiri afya ya uume wako.

Unaweza kuosha eneo lako la Siri kwa kutumia maji ya uvuguvugu na sabuni isiyo ya kunukia. Usitume sabuni kali au kukwangua eneo hilo kwanguvu, kwani ngozi katika eneo hilo itachubuka. 

Hakikisha una:

  1. Osha eneo lenye mavuzi na ngozi kuzunguka shina la uume, vile vile ngozi kati ya mapaja na eneo la uume. Jasho hujikusanya hapa .
  2. Osha shafti ya uume wako.
  3. Kama hujatahiriwa, vuta taratibu hiyo ngozi ya juu kwa nyuma na uioshe.    Hii husaidia kuzuia mlundikano wa uchafu uitwao smegma, ambao unaweza kupelekea magonjwa kama balanitis.
  4. Osha korodani zako na ngozi inayozunguka .
  5. Osha kipande cha ngozi kati ya  korodani na njia ya haja kubwa (perineum) 
  6. Osha karibu na njia ya haja kubwa na makalio. .

Ni vyema ukaosha uume wako Kila muda unaooga.

Ukiwa unajisafisha, chunguza ngozi eneo la maungio ya paja na uume wako (groin) kwa dalili za magonjwa ya zinaa. Dalili hizo ni kama vile:

  • Kutokwa na uchafu usio wa kawaida 
  • vipele
  • blistersz
  • Sunzua 



Program ya mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume

Umetoka kusoma zoezi mojawapo la kuchelewa kufika kileleni la Kegel. Lakini sasa, je unafahamu ni kwa kiasi gani unatakiwa kufanya na kwa kpimo kipi?
Kama umewahi kujiuliza endapo kuna mazoezi ya kurefusha na kunenepesha mboo bila kutumia dawa; 
🌿Majibu ya maswali yako tumeyajibu kwenye program ya mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume kwa mfumo wa PDF.

Mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume kama vile stretching, jelqing, na mengineyo. Program imesheheni mazoezi 5 tofauti yaliyoelezewa kwa kiswahili cha kawaida cha kueleweka. 

Utakutana na chati za maelekezo ya utumiaji wa mazoezi na chati za miiko yake, pamoja na muda wa kufanya mazoezi, vilevile program inaelekeza ni kwa kiasi gani ufanye mazoezi na kwa kipimo kipi, ili kuepukana na athari hasi zitazojitokeza kwa kuzidisha kipimo bila kufata maelekezo ya kitaalamu.

Waliotumia program wanaendelea kutuma mirejesho chanya kupitia Whatsapp .

Braza nikwambie kitu usichokijua ni kwamba huwezi kuona utofauti wa ufanyaji kazi wa mwili wako hadi pale utakapoanza kufanya mazoezi ya mwili na viungo. Ndivyo ilivyo kwenye kesi ya mboo, utakapofanya mazoezi ya mboo hutakuja kuyaacha kwa maana yatakuletea furaha na kujiamini kitandani.

Kuwa mpenzi bora leo kwa kuagiza program ya mazoezi ya kurefusha na kunenepesha uume. 

Bei ya program ni Tsh25,000

Piga simu/sms neno "program" nitakujibu kwa haraka kupitia namba yangu binafsi+255679120403

Tabibu Kweli
Dar es Salaam,
Tanzania 🇹🇿
WhatsApp: 0766107722






















Maoni