Je, Unasumbuliwa na Jino Kiasi cha:
- Kushindwa kutafuna chakula upande wa jino lenye tatizo,
- Jino kulegea kana kwamba linataka kung'oka,
- Kuhisi ganzi unapokunywa maji ya baridi,
- Kupata maumivu kila unapokula chakula kwa sababu limetoboka,
- Kushindwa kulala usiku unahangaika na kubaki kuwa mlinzi wa nyumba,
- Fizi kuvimba hadi kuumuka uso upande wa jino lenye tatizo
- n.k
Zijue Sababu Zinazopelekea Jino na Fidhi Kuuma
Baadhi ya sababu ni kama zifuatazo:
- Ulaji wa vyakula vyenye sukari mara kwa mara kama pipi, ice cream, n.k
- Kutosafisha meno ipasavyo na mswaki
- kutosafisha kinywa kila siku
- Kutosafisha kinywa na dawa maalumu ya meno ya kusafishia meno
- Bakteria wanaoozesha chakula walipo kwenye kinywa (Streptococci)
- Mabaki ya chakula yanayobaki kwenye meno baada ya kula kwa muda mrefu bila kuondolewa.
Njia za Kuepukana na Magonjwa ya Fidhi na Meno
🌿Zifuatazo ni baadhi ya njia unazoweza kutumia kuepukana na tatizo hili:
- 🍉🍃Safisha kinywa au sukutuwa na maji vizuri kila umalizapo kula.
- 🍉Tumia dawa ya meno kusafisha kinywa mara mbili kwa siku. (Asubuhi uamkapo na usiku kabla ya kulala au baada ya msosi wa jioni).
- 🍉Sukutuwa kinywa kwa maji inapowezekana kila unapokula vyakula vyenye sukari nyingi.
Dawa ya Asili ya Meno Bila Kung'oa
🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿
🍏Kama wewe ni kama mimi hupendi kung'oa meno na hauna mpango huo siku za usoni unaweza kuagiza dawa hii meno ;
Tibu tatizo la meno kwa 100%
💰Bei:Tsh7,500
Dozi ni chupa 4
🌎Tunatuma bidhaa zetu mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani kwa uaminifu mkubwa.
Gharama ya kutuma kwenye basi ni Tsh10,000/=
Maoni
Chapisha Maoni