Utashamgazwa na Njia hizi za Kupunguza Uzito

 Kwa watu wengi, kudhibiti uzito ni suala lenye changamoto kubwa kwenye kesi ya ya kujiweka sawa kiujumla. Zaidi ya 1/3 ya watu wazima raia wa Marekani pekee wanafikiriwa kuwa na utapia mlo, na ni tatizo linaloongezeka duniani. Ugonjwa wa Kisukari ni tatizo linalopanda chati, kama vifo vitokanavyo na magonjwa yanayohusu matatizo ya moyo. Udhibiti uzito ni kifaa muhimu mno kwa watu kulinda afya zao kwa kipindi kirefu na kufanikisha malengo yao ya kuwa na mwili imara.

Uzito Unaofaa ni Upi?

Kila mtu ana mwili tofauti, kwahiyo hakuna uzito maalumu wa kidunia unaofaa. Hatahivyo, Body Mass Index (BMI) ni kipimo kinachokubalika duniani kwa afya ya mwili kiujumla na hutegemea kwenye urefu wako na uzito wako kutathmini kama wewe una una ukubwa unaofaa kiafya. Ukubwa kiuno chako pia ni kipimo kingine kinachochangia kwenye kikokotoleo hiki. [1]

BMI hupatikana kwa kugawanya uzito wako (kwenye kilograms) kwa kipeo cha pili cha urefu wako ( kwenye centimeters).

Kiwango cha chini kwa BMI ni namba yoyote chini ya 18.5, ambayo kwa hapo tunahesabu upo kwenye hatari ya uzito uliopitiliza. Hii itakuhitaji kubadili mlo wako, au mtembelee daktari, kama ukosefu wako wa uzito umetokana matibabu ya hospitali.

Uzito usioeleweka unatakiwa kupimwa mara kwa mara

Kiwango cha kawaida cha BMI ni kati ya 18.5 na 24.9, lakini hii huitaji tabia za kula mlo kamili na mwili imara.

Kiwango kikubwa cha BMI ni 25-29.9, ambacho humaanisha kwamba umefikia kwenye ukingo wa shimo la utapia mlo karibuni kuangukia humo, lakini unaweza kurudisha uzito wako kwa kutumia suluhishi la muda mfupi chini ya uangalizi wa kutumia msaada wa tiba asilia , bidhaa ziliyzooandaliwa kwa kutumia virutubisho asilia bila kuongezwa kemikali za viwandani, maalumu kwa kuondoa vitambi, minyama uzembe na kupunguza uzito uliokithiri.

Ushauri na tiba asilia
Tabibu Kweli
Whatsapp: 0658674553
Call:0766107722

Sasa Utapia mlo ni namba yoyote zaidi ya 30 na huitaji malengo ya muda mrefu kwa msaada wa Dawa, mabadiliko ya ulaji wa chakula bora na kiwango kikubwa cha kuutumikisha mwili. Kama unataka kuzuia magonjwa sugu na kurudi kwenye kiwango cha kawaida cha BMI. [2]

Nini Maana ya Kudhibiti Uzito?

Kwa maana, kudhibiti uzito ni makusudio ya muhula mrefu kuelekea kuishi maisha yenye afya zaidi kupitia mchanganyiko machaguzi ya ulaji chakula bora na shughuli zinahusisha mwili, ambazo zitakusaidia kubakisha uzito wako au kukusaidia kushusha taratibu uzito wa ziada kwenye hali ya kiafya na njia inayowezekana. Ukilinganisha na njia nyingine zilizo mbaya kama vile kushinda njaa na njia za haraka haraka, kudhibiti uzito huzingatia hasa maendeleo ya polepole na taratibu ya ujumla wa uzito wako kupitia njia na malengo yenye uhalisia. [3]

Njia sahihi za kudhibiti uzito huchochea mabadiliko ya kudumu kwenye mfumo wa maisha yako na kuwa karibu na mazoezi, kuliko mabadiliko yasiyodumu. Kwa kuchochea tabia za ulaji bora na kupelekea matokeo chanya, udhibiti uzito mara zote ni mpango wenye mafanikio zaidi na mpango unaodumu kwa afya bora.

Njia za Udhibiti Uzito

Njia bora zaidi za kudhibiti uzito huusisha mazingatio ya misuli imara, kuzidisha muda wa mazoezi, kupunguza muda wa kutazama screen, ulaji wa chakula mara kwa mara, na kudhibiyi kiasi cha chakula unachokula, na nyinginezo.

Misuli Imara

Kama unajaribu kudhibiti uzito wako, kuongeza misuli badala ya fati ni mpango mzuri, lakini kumbuka kwamba misuli ina uzito zaidi ya fati, na kujaa mwili kunaweza kusiwe lengo lako kuu kama unataka kudhibiti uzito wako. Zingatia kwenye maendeleo ya kuwa na misuli imara, kwa kufanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito, kuliko chakula kilichoandaliwa kuondoa fati, itaongeza metaboliki ya fati kwani misuli huitaji nishati muda wote. [4]

Muda wa Mazoezi

Kama wewe tayari ni mtu wa mazoezi lakini unataka kuimarisha njia za kudhibiti uzito, jaribu kuongeza muda ufanyaji mazoezi kwa dakika chache kila siku. Hata ongezeko la dakika tano linaweza kukusaidia kuunguza kalori ipotee, sasa ndio unaweza kuanza kuona mabadiliko ya uzito kupungua kwa muda wa wiki chache. [5]

Muda wa Kutazama Screen

Dunia yetu ya sasa imejaa pomoni na usumbufu wa uono, hasa kutoka kwenye vifaa vya kutembea navyo kama tablets, laptops, na smartphones. Licha ya kuweza kutembea navyo, matumizi ya vifaa hivi mara nyingi hutumika wakati wa mkao, ikichochea sio tu umbile la mwili wako na viwango vya ufanisi wa mwili lakini pia huchochea tabia mbaya za ulaji. Bila kujari kutafuna tafuna vyakula kipindi unatazama luninga kwa masaa kila siku usiku ni mbaya; kwa ujumla, kuwa active na punguza muda unaotumia kutazama kwenye screen. [6]

Punguza muda unaotumia kutazama screen

Kuepuka Milo

Ijapokuwa kukata kalori inaonekana rahisi kama ukiacha tu kula mlo kila baada ya siku chache, namna hii ya kushusha virutubisho inaweza kuzorotesha mfumo wako wa kimetaboliki na kuacha mwili wako kukosa vyanzo vinavyohitajika kuufanya kuwa na nishati. Badala yake, chagua mpango wa ulaji chakula bora ambao utaweka kiasi cha ulaji wa kalori kwenye mazingatio, bila kukuhitaji wewe kwenda bila virutubisho kwa vipindi virefu vya siku. [7]

Kiasi cha msosi

Kuliko kujitenga na aina fulani ya chakula, rahisisha kwa kupunguza kiasi cha chakula unachokula. Kujikataza kula vyakula unavyovipenda italeta ugumu zaidi kwenye kuendeleza chakula chako bora, wakati ukipunguza ujazo hivyo vyakula itakupa motisha na kukufanya ubaki kwenye njia pamoja na malengo yako. [8]

Chakula Bora na Udhibiti Uzito

Moja katika mambo mawili muhimu ya udhibiti uzito ni chakula chako (diet), kwahiyo kama umepitiliza uzito, una utapia mlo au unajaribu tu kushusha kiasi kidogo cha uzito kufikia lengo la uzito wako, utahitaji kusogeza misosi yako kama itakavyohitajika. Ushauri mzuri zaidi kwako kwa msosi (diet) wako ni mara zote kula kifungua kinywa asubuhi, kujipima uzito kila siku, kuwa na jarida la chakula, kufanya manunuzi yenye tija, kuongeza ulaji wa mbogamboga, na kujizuia kula vyakula vya viwandani.

Kifungua kinywa (Breakfast)

Hakuna mbadala wa kifungua kinywa kizito kuanza siku yako. Wataalam wanashauri upate kifungua kinywa chenye fiber( chakula chenye nyuzi nyuzi) nyingi, pia ukiongezea maziwa mtindi, matubds, nuts, granola, na chaguzi nyingine za kiafya za kifungua kinywa. Hii haitokupa tu nishati kwenye mwanzo wa siku yako lakini pia itakufanya ujihisi kushiba, shukrani kwa fiber, kwani itakuzuia kuwa mlafi na kutafuna kulakula baada ya milo. [9]

Kupima Uzito kila Siku

Hii ni hatua inayosisitizwa na wataalamu wengi. Kwenye hali ya uzingatiaji wa hali ya juu ya milo(diet), ni vizuri zaidi kutotazama kwenye kipimo cha uzito kila siku, kwani unaweza kukuvunja nguvu kama hutaona matokeo ya ghafla. Hatahivyo, kwa kudhibiti uzito, unahitajika kuhakikisha unabakisha uzito huohuo au unapunguza kiasi hikohiko cha uzito, kujua, kujua kama unahitaji kufanya mabadiliko ya diet yako ya kudumu.

Kupima uzito kila siku kunaweza kukatisha tamaa ya safari yako.

Tabia za Manunuzi

Ulaji wako wa chakula huanzia kwenye nini unachonunua na huishia kwenye nini ulichonacho nyumbani kwako kwa kupika. Kama unapanga misosi yako kabla na ukafanya manunuzi kama ulivyopanga, utakuwa umejitoa kwenye kununua vitu visivyo na faida kwako. [10]

Ulaji wa Fiber

Kwa diet zote kumbuka hili, kuongeza ulaji wa fiber ni muhimu, ukizingatia watu wazima wengi sana hawali kiaai sahihi cha fiber kila siku. Kirutubisho hiki muhimu kitasaidia kushusha kiwango cha cholesterol, kudhibiti kiwango cha sukari ya damu, kuzuia njaa kubisha hodi, na kuimarisha ufanisi wa mmeng’enyo wako wa chakula. [11]

Vyakula Vya Viwandani

Epuka vyakula vya viwandani vyovyote inavyowezekana, hasa pipi, junk food, fast food, na vyakula vilivyogandishwa kwenye jokofu. Vyakula hivi vinaweza kuwa rahisi na vitamu, lakini vinahifadhiwa na preservatives, additives, saturated fat, na trans fat, ambavyo hakuna hata kimoja hapo kitakusaidia kwenye malengo yako ya kudhibiti uzito. [12]

Jarida la Chakula

Kuwa na jarida la chakula yaweza kuonekana kama ni usumbufu na zoezi lenye kuchukua muda, lakini itatoa picha nzuri ya tabia zako za virutubisho ndani ya wiki na miezi. [13]

Bidhaa za Kudhibiti Uzito

Kuna virutubisho na bidhaa zisizohesabika za kudhibiti uzito kwenye soko ambazo zinaweza kukusaidia kukupeleka kufika kwenye BMI yenye afya, ikiwemo caffeine, green tea, conjugated linoleic acid, na raspbery, na nyinginezo. [14]

Kampaundi hizi nne, ambazo zinaweza kuchukuliwa kwenye mtindo wa supplement, kimsingi husaidia mfumo wa kimetaboliki na kuongeza uwezo wa kuunguza fati kwenye mwili. Lakini bidhaa nyingi za kudhibiti uzito zinapitia viwandani na kuwekwa kemikali za kuhifadhia.

Detox Powder ni bidhaa iliyoandaliwa kiasili kwa 100% bila kuongezwa kemikali za kuhifadhia. Punguza uzito baada ya wiki ya kwanza ya utumiaji.

Wasiliana nasi:

Tabibu Kweli 🇹🇿
 WhatsApp/Call
 +255 658 674 553 
+255 766 107 722


































Maoni